[Verse 1 : Rayvanny]
Hhhmm
Nimeanza safari ya penzi na wewe usiikatishe (eeeh)
Mungu mwema baba Mbali atufikishe (eeeh)
Mi binadamu nakosea nikiteleza usiuzunike (eeeh)
Milele Mwanadada Nikifa Unizike
Kutoka kwenye Uvungu Wa Moyo Wangu
Natamka niwewee
Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama
Mfariji pekee nikimwaga chozi langu mama (Niweweee)
Imenishinda siri Kifuani Mwangu (Aaaah aaah)
Nikupeleke Nyumbani kwetu Sheri eeeh
Ukawajue Na Ndugu zangu mama aaah
Unipeleke Nyumbani kwenu Bibi weweee
Nikawaone shemeji zangu mamaaa aaah
Siri Yanini (Siri)
Nini Maaana Yake oooh (Siri)
Siri ya niiini (Siri)
Nini hasara zake (Siri)
Siri oooh siri Mapenzi ya siri iiiiiiih
[Pre Chorus : Rayvanny]
Ooooh Mama lolooooh..!
Ooooh Mama lolooooh..!
Ooooh Mama lolooooh..!
[Verse 2 : Nikk Wa Pili]
Eeh Mama
Nipe Utamu kabla Ujatamka Usingizi
Si come Mpaka tukiamka Ni series
Kakonko twende kamara kibirizi
Mapaja Yake utamu Michirizi
Michepuko imenuna Imezila siri siri
Na wee ni kachumbali Mayonnaise Pili pili
Pili pili Manga Tunakilikili wanga
Kilimanjaro Nyumbani kwetu kisimili mwanga
Si mama Nikk Simama Wima
Siri Ya Mapenzi Nikufikishe kwa Kina
Umebeba beba
Mkungu Wa Muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba
Umebeba beba
Mkungu Wa Muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba
[Chorus : Rayvanny]
Ooooh Mama lolooooh..!
Mama lolo kwako sijiwezi
Ooooh Mama lolooooh..!
Sitoficha Mdudu Mapenzi
Ooooh Mama lolooooh..!
Mama lolooooh..!
Kwako sijiwezi
Ooooh Mama lolooooh..!
Mama loloooooo oooooh ooh
[Hook : Rayvanny]
Kwenye kamoyo mi sina (Siri)
Je nikutaje ka jina (Siri)
Wajue wenye fitina (Siri)
Jembe Nipo Nalima (Siri)
Basi Nawe Usifiche maaa.... (Siri)
Sema Watupishe naaa... (Siri)
Vichefuchefu Watapishe Naaa.... (Siri)
Penzi letu lisiishe m mi Na wewee..... (Siri)
[Outro : Rayvanny]
Owe owe oweoooo owe owe owaa
Owe owe oweoooo owe owe owaa
Siri Yanini (Owe owe oweoooo owe owe owaa)
Nini Maaana Yake (Owe owe oweoooo owe owe owaa)
Siri ya niiini (Owe owe oweoooo owe owe owaa)
Nini hasara zake (Owe owe oweoooo owe owe owaa)
SIRI LYRICS-RAYVANNY FT NIKK WA PILI
Reviewed by Listener
on
December 30, 2017
Rating:
No comments: