banner image
banner image

FRESH REMIX-FID Q FT DIAMOND PLATNUMZ & RAYVANNY



 [Intro: Fid Q]
Nikipata cash.. nakua FRESH kama cucumber,
nikiwa na dash nakua mjeshi bila full ngwamba,
kwenda resi sioni kesi Mr Ku-banda,
yakijiset.. sikwepeshi naweka juu chanda..,
Sio mtu wa kila mtu ila ni mtu wa watu,
Mtu shantu,kuntu na ni mtu mbavu,
Sio mtu kavu huyu mtu anautu na love,
Lakini Sio mtu wa kila mtu na sio mpumbavu,

[Verse 1: Diamond]
Ya,Nilipo sikia beat tu nikatama nifanye verse,
Nikam-chek ngosha akanambia simba mbona fresh,
Upesi upesi nikaandika ni murder case,
Na sasa ngoma kitaani imenuka kama kinyesi,
I’m start young kabla sijaitwa chibu Denga,
Enzi hizo naitwa Domo,siku hizi eti lipsi denda(Fresh),
Baba Tiffa mwaniita baba Nillan,
Naskia naitwa baba Abdul,Kuna mambo mtaani!(Fresh),
Mzuka ukipanda wakata viuno kama vanga,
Kwa beat ya kubanda inayobakwa na muuza karanga,
Ukinichukia sikosi hela,hivyo kwangu sio case,
Kuni-compare na sinderera haiwezi kuwa fresh,
Simba…….,
Toka mbuga ya Tandale,
Naona swala wana-force tuwe sare,sare,
Viuno vidogo wanataka pensi ya pepe kale,
Si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale,

[HOOK/Chorus: Fid Q]
Fresh,Fresh,
Fresh,Fresh,

[Bridge: Rayvanny]
Waambie mjini shule,wasitamani vyote vimelipiwa,
Kama ukipenda vya bure,leta sahani utapakuliwa,
Kipofu kuendesha gari(Fresh),
Kwenda kwa miguu zanzibar(Fresh),
wabunge kucheza kamari(Fresh),
Masela kula ganja na askari(fresh),

[Verse 2: Fid Q]
Silverfox kama BARABUU au WANDIBA,
Ninaitwa BOSS na nina-ball kama BABANGIDA,
FRESH off the boat niko ZANZIBAR,
Ninai-smell KARAFUU nikiwa na CANDIBAR(CANDIBAR),
FRESH kama pipi ya mint.. pipi ya binti.. au p-p ile P P ya lift,
P ya please au FRESH ya PF3 ya polisi?,
iko weird.. unaweza ingia na wakazuia release..,

[Bridge: Rayvanny]
Waambie mjini shule,wasitamani vyote vimelipiwa,
Kama ukipenda vya bure,leta sahani utapakuliwa,
Bhakresa kuokota siso(Fresh),
Kula chapati kwa kijiko(Fresh),
Rihana kuimba mdundiko(Fresh),
Uncle Magu kwenda disco(fresh),

[Verse 3: Fid Q]
Wana hela ya kuwapa,kutoka jasha pasipo na mbio,
Au hela ya hapahapa,ya kwamba huwezi panga hata deal,
Wajiweke fresh,fresh kabla ya hii fresh haijawajuza,
Cash cash inafanya boss lady asake mabuzi,
Asitake makuuzi asilale peke yake apate utatuzi,
Tupo fresh….,
Tumekua sikuhizi sio watu wa maujiko,
Hatuna case ikiwa manyunyu ya mvua kwa siafu ni mafuriko,
Hehehe……,
Fresh.

[HOOK/Chorus: Fid Q]
Fresh,Fresh,
Fresh,Fresh,

[Outro: Diamond]
Yo,Eti ni fresh Kubanda kubana Pua
Au kwenye miiko ya Hip-Hop atakua amezingu
FRESH REMIX-FID Q FT DIAMOND PLATNUMZ & RAYVANNY FRESH REMIX-FID Q FT DIAMOND PLATNUMZ & RAYVANNY Reviewed by Listener on January 03, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.